HAYA HAPA MATOKEO YA YANGA VS WAYALTA DICHA YANGA YAFUZU KWA MABAO 2-1

Matokeo Welayta/Wolaita Dicha vs Yanga 18 April 2018

Matokeo Kati ya Welayta Dicha iliyonyumbani kuwakaribisha Yanga kutoka Dar Es Salaam Tanzania uwanja wa Kimataifa wa Hawassa Mjini Hawassa Ethiopia.

Soma habari za yanga

Timu zinaingia uwanjani tayaro kwa Pambano mjini Hawassa Ethiopia

Tayari mechi Imeanza Kati ya Welayta Dicha na Yanga

Welayta Dicha 0 – 0 Yanga

Dakika ya 2 Welayta Dicha wanapata bao kupitia Mpira wa kona kimo cha Mbuzi.

Dicha 1 – 0 Yanga

Dakika ya 4 Yanga wanajaribu Kutulia na Kupiga Pasi za hapa na Pale

Dakika ya 9 Yanga wanapata Mpira wa Kurusha karibu na goli la Dicha  lakini unakosa madhara

Bado Dicha 1 – 0 Yanga

Dakika ya 12 Dicha wanapata Kona Nyingine lakini Inatua Mikononi mwa Youthe Rostand Jehu

Jaco Araphat wa Dicha anaonekana kuwa Msumbufu sana kwa Yanga mpaka sasa

Dakika 15

Welayta Dicha 1 – 0 Yanga
>>>>> Bofya hapa kulitazama goli<<<<<

Comments

Popular posts from this blog

YANGA YASAFIRI NA HAWA TU , WENGINE WOTE WABAKI NCHINI

YANGA YAJIBIWA HIVI NA TFF KUHUSU KUOMBA KUJITOA KAGAME CUP

MASHINDANO MENGINE TOFAUTI NA KAGAME KUANZA 29, JUNE SIMBA NA YANGA NDANI RATIBA NZIMA HII HAPA