Yanga yaondoka ethiopia bila ajibu
- Get link
- X
- Other Apps
YANGA YAONDOKA BILA AJIB KWENDA ETHIOPIA MECHI YA MARUDIANO NA WOLAITA DICHA JUMATANO
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI Ibrahim Ajib hayumo kwenye kikosi cha mabingwa wa Tanzania, Yanga SC kilichoondoka Alfajiri ya leo kwenda Hawassa, Ethiopia tayari kwa mchezo wao wa marudiano wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumatano dhidi ya wenyeji, Wolaita Dicha.
Kikosi cha wachezaji 20 na viongozi 13 kimepanda ndege ya shirika la Ethiopia kwena Addis Ababa baadaye kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Hawassa kufuata tiketi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho.
Wachezaji waliosafiri Alfajiri ya leo ni makipa; Youthe Rostand, Beno Kakolanya, mabeki Hassan Kessy, Juma Abdul, Mwinyi Haji Mngwali, Gardiel Michael, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, Kelvin Yondan na Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavario, viungo; Papy Tshishimbi, Yussuf Mhilu, Raphael Daudi, Pius Buswita, Geoffrey Mwashiuya, Said Juma ‘Makapu’, Juma Mahadhi na Emmanuel Martin wakati washambuliaji ni Obrey Chirwa,kamuspko

Item Reviewed: YANGA YAONDOKA BILA AJIB KWENDA ETHI
- Get link
- X
- Other Apps