MABINGWA WA Dr. SHOO CUP EDU 3 WALIVYO PEWA HESHIMA YAO KAMA MABINGWA


Bofya hapa kutazama video
Mabingwa wa Dr. Shoo Cup Chuo kikuu cha Makumira ambao Ni team ya Education Mwaka wa tatu leo wamepewa heshima yao Kama mabingwa (Guard of honor) na team ya kitivo cha Sheria
Mabingwa hao wamepewa heshima hiyo pale walipo kutana kwenye mechi ya Kirafiki ambapo mtanange huo ulimalizika kwa Mabingwa hao kuibamiza team ya kitivo cha sheria kwa mabao 4 - 1.  Huku magoli hayo ya mabingawa yakiwekwa kambani na Kenny ambaye alitupia magoli 2 katika kipindi cha kwanza huku magoli mengine mawili yakifungwa katika kipindi cha pili na washabuliaji Samba ambaye alifunga goli amaizing sana goli lililomfanya hadi kocha wa team pinzani akashangilia uwezo na umalidadi wa mfungaji  huku goli la nne likiwekwa kambani na Cheche
Mnamo dakika za majeruhi team ya sheria waliweza kupata goli moja la kufutia machozi kupitia kwa kiungo wao Medy ambaye alifunga goli baada ya kipa wa mabingwa kutema mpira uliopigwa Kama faul

Kuitazama video hii bofya hapo chini

BOFYA HAPA KUITAZAMA VIDEO

Usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE NA COMENT

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

YANGA YASAFIRI NA HAWA TU , WENGINE WOTE WABAKI NCHINI

YANGA YAJIBIWA HIVI NA TFF KUHUSU KUOMBA KUJITOA KAGAME CUP

MASHINDANO MENGINE TOFAUTI NA KAGAME KUANZA 29, JUNE SIMBA NA YANGA NDANI RATIBA NZIMA HII HAPA